Vinjari kwa Silabi

Silabi: A

Vimepatikana vidahizo 455 vinavyoishia kwa silabi A.

Ukurasa 8 / 10 Jumla 455

Vidahizo

50 kwenye ukurasa huu

sasambua

1. Ondoa vilivyomo sandukuni kimojakimoja hadi viishe. 2. Vua kila nguo kwa zamu mpaka usibaki na vazi. 3. Mshambulie mtu kwa matusi yanayomwaibi...

shokoa

1. Kazi anayolazimishwa mtu kuifanya. 2. Shamba lililoachwa bila kulimwa kwa msimu mmoja au zaidi.

soa

1. Acha kitu kwenye mchanga maji yanapopwa. 2. Gusa sakafu ya maji kwa sehemu ya chini ya chombo.

sogoa

1. Ongea na mtu ili kupitisha muda. 2. Badilishana ujumbe wa maandishi kwa simu au kompyuta.

sombea

1. Hamisha vitu vingi kwa safari za kurudi na kwenda. 2. Mbebee mtu mwingine vitu vingi.

spea

1. Kifaa cha akiba cha kuchukua nafasi ya kilichoharibika. 2. Sehemu ya kubadilishia katika mashine au kifaa.

sua

1. Tema maji yaliyotumiwa kusukutua. 2. Toa na tema makohozi yaliyoko kooni.

tegemea

1. Weka matumaini ya kupata msaada kutoka kwa mwingine. 2. Tarajia kupata kitu au kutokea kwa jambo.

tengua

1. Batilisha maafikiano yaliyokuwa yamewekwa. 2. Fanya kitu kitoke mahali kilipokuwa kimekaa.

thurea

1. Kundi la nyota linaloitwa kilimia. 2. Pambo la taa nyingi zinazong’aa lililoning’inia juu.

toa

1. Ondoa kitu kutoka ndani ukilete nje. 2. Fanya taarifa ijulikane au isikike. 3. Punguza namba moja kutoka nyingine. 4. Mpe mtu kitu. 5. Chapi...