soa

0

1. Acha kitu kwenye mchanga maji yanapopwa.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Maji yalipopwa, yalisoa mashua kwenye mchanga.

2. Gusa sakafu ya maji kwa sehemu ya chini ya chombo.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Jahazi lilisoa karibu na ufuo wa Pangani.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →