somea

0

1. Msomee mtu maandishi kwa sauti.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Achieng alimsomea babu barua iliyotoka Jinja.

2. Fuata mafunzo ya taaluma fulani.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Nyirabazungu alisomea ualimu mjini Huye.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →