Vinjari kwa Silabi

Silabi: A

Vimepatikana vidahizo 455 vinavyoishia kwa silabi A.

Ukurasa 9 / 10 Jumla 455

Vidahizo

50 kwenye ukurasa huu

tomea

1. Chomeka mawe katika ukuta ambao bado ni mbichi. 2. Andika maelezo ya kidahizo ndani ya kamusi. 3. Shindilia nafaka ndani ya gunia.

tua

1. Fika ardhini kutoka angani. 2. Kuwa na amani na utulivu. 3. Weka chini mzigo uliobebwa.

tungua

1. Ondoa kitu kilichoangikwa au kinachoning’inia. 2. Angusha kinachoruka kwa kukishambulia.

umua

1. Kuchanganya unga ili utayariwe kufura. 2. Kumtorosha mwanamke aliye na mume. 3. Kuchukua asali kutoka kwa nyuki. 4. Kumimina metali iliyoyeyu...

vamia

1. Kufanya jambo bila tahadhari ya kutosha. 2. Kushambulia kwa ghafla au kuingia kwa nguvu.

vua

1. Kuondoa mavazi au mapambo mwilini. 2. Kumwokoa mtu au kitu katika hatari. 3. Kukamata samaki kutoka majini.

wia

1. Kuomba kufanyiwa jambo. 2. Kuanza kupata moto kabla ya kuchemka. 3. Shairi lisilofungwa na kanuni za kawaida za vina na mizani. 4. Kuwa vigum...

zia

1. Kuhisi chuki unapomwona mtu. 2. Kuacha chakula au kinywaji kwa sababu ya maradhi. 3. Kuacha jambo kwa kulichukia.

zimua

1. Kupunguza joto kali la kitu. 2. Kupunguza ubaridi mkali wa kitu. 3. Kupunguza ukali au nguvu ya jambo.