Penyeza ncha katika kitu laini ukifanye tundu.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Ncha ya kijiti imetofoa tunda.
Puncture; pierce a soft object with a point.
Kitenzi
Example
The stick’s point has punctured the fruit.
Piquer; percer une matière molle avec une pointe.
Kitenzi
Exemple
La pointe du bâtonnet a percé le fruit.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi