1. Mmea wa nafaka ambao punje zake zikikobolewa huwa mchele.
Nomino
Mfano wa matumizi
Mpunga ulipandwa bondeni.
2. Punje za zao la mpunga kabla ya kukobolewa.
Nomino
Mfano wa matumizi
Mpunga ulipelekwa kukobolewa.
1. Rice plant; cereal grass yielding grain processed into rice.
Nomino
Example
Rice was planted in the valley.
2. Paddy; harvested rice grain retaining its husk.
Nomino
Example
The paddy was taken for milling.
1. Riz; céréale dont les grains décortiqués donnent le riz alimentaire.
Nomino
Exemple
Le riz a été planté dans la vallée.
2. Riz paddy; grain de riz conservant son enveloppe.
Nomino
Exemple
Le riz paddy a été envoyé au décorticage.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi