1. Shughuli inayofanywa ili kuleta kipato.
Nomino2. Mpango unaotekelezwa kwa maendeleo ya watu.
Nomino3. Manufaa au haja anayotarajia mtu kutimiza.
Nomino4. Ilimradi jambo linalotajwa litimizwe.
Kiunganishi5. Kijiti kinachotumiwa katika utarizi.
Nomino1. Income project; activity undertaken to earn money.
Nomino2. Development project; planned undertaking for collective improvement.
Nomino3. Desired benefit; need or advantage someone seeks.
Nomino4. Provided that; conjunction introducing the essential condition.
Kiunganishi5. Embroidery stick; small stick used in textile decoration.
Nomino1. Projet lucratif; activité menée pour générer un revenu.
Nomino2. Projet de développement; initiative planifiée pour améliorer une situation.
Nomino3. Avantage recherché; besoin ou bénéfice désiré.
Nomino4. Pourvu que; conjonction introduisant la condition essentielle.
Kiunganishi5. Bâtonnet de broderie; petit outil en bois utilisé pour le travail du fil.
NominoTafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi