Aleluya
Tamko la furaha na shangwe ambalo Wakristo hutumia kumsifu Mungu.
Vimepatikana vidahizo 91 vinavyoishia kwa silabi ya.
Tamko la furaha na shangwe ambalo Wakristo hutumia kumsifu Mungu.
Kifaa cha kuongeza ukubwa wa ishara ya kielektroniki, hasa ya sauti.
Wakati wa jioni ambapo jua linatua; machweo.
1. Kipande kilichotengwa au kukatwa kutoka katika kitu kizima. 2. Sehemu ndogo ya kitu kizima. 3. Alama au tendo linalotoa taarifa au kuonyesha j...
1. Kutumia fedha au mali kupita kiasi na bila uangalifu; kufuja. 2. Kusababisha ujauzito kuisha kabla ya kufikia muda wa kujifungua.
1. Fungu la sentensi au maneno linalojenga wazo kamili ndani ya maandishi; paragrafu. 2. Fungu la maneno linalounda sehemu ya sura katika maandiko...
Mnyama wa porini mwenye mabaka, anayefanana na fisi na huishi karibu na makazi ya watu.
1. Bonyeza au kandamiza kitu kwa kidole au mkono. 2. Bonyeza na kuachia kitufe cha kipanya ili kuchagua kitu au kutoa amri kwenye kompyuta.
1. Jaketi lenye uwezo wa kumsaidia mtu kuelea majini ili asizame. 2. Vazi la kinga linalovaliwa mwilini ili kupunguza madhara ya silaha, hasa risa...
Aina fulani ya ndege.
Punje za mpunga ambazo makapi yake hayakutoka zilipotwangwa.
Vazi la kinga la mwili dhidi ya silaha au mapigo.
1. Peleleza kwa siri ili upate habari. 2. Pata kitu kwa ujanja wa kujipendekeza; doea.
Ingiwa na wasiwasi au hofu.
Mkeka wa miyaa wa kujilazia au kupata lepe.
Mpaka kufikia upeo wa jambo.
1. Fikia na kamata kitu kwa kutumia kingoe. 2. Kauli za utani au mzaha. 3. Mwenendo wa kujivuna na kujionyesha. 4. Kisicholeta manufaa.
Tetemeka kwa baridi au hofu.
Tamko la furaha katika ibada za Kikristo.
1. Shairi lenye mishororo thelathini katika kila ubeti. 2. Jina la utenzi wa Kiswahili wa kumsifu Mtume Muhammad uliotafsiriwa na Sharif Aidarus b...
Vitu vya wingi vilivyo karibu na msemaji.
1. Kauli ya kukubali au kuridhia jambo. 2. Mwito wa kuwatayarisha watu waanze jambo.
1. Hadithi ya kubuni inayosimuliwa. 2. Jambo la kushangaza au kuajabisha.
1. Uongofu wa kutenda kwa haki. 2. Zawadi inayotolewa kwa upendo.
Eneo la utawala pamoja na mamlaka ya mtawala wake.
1. Hali ya kukosa radhi au baraka. 2. Aibu au fedheha inayompata mtu.
Wimbo wa kuwapa shime wanaofanya kazi nzito pamoja.
Tenda jambo linalomkera au kumchukiza mwingine.
Mtembelee mtu kwa kumjulia hali.
Jiletee shida kwa matendo yako.
Nyama nyeupe laini ndani ya nazi inayoanza kuota.
1. Kwa sababu ya jambo. 2. Zaidi ya kiasi fulani. 3. Kuhusu jambo linalotajwa.
Fanya mwingine ajue au aelewe jambo.
Wavu wa kuzungushia samaki na kuvutwa kwa kamba.
Watu wa familia wanaoishi pamoja katika makazi.
1. Kelele za furaha na hoihoi katika sherehe. 2. Kwa wingi au kiwango cha kupita kiasi.
1. Peleka kope juu na chini kwa kupepesa. 2. Mbughudhi mtu kwa vitendo vya kukera. 3. Onyesha kutomheshimu au kutomthamini mtu.
Chakula cha kunde, choroko, muhogo na maharagwe vilivyopikwa pamoja.
1. Kielelezo kinachowakilisha kitu, tendo au jambo. 2. Hali au kauli inayokwenda kinyume na matarajio. 3. Hali ya kutosheka hadi kutotamani zaidi.
Bila utaratibu wala uangalifu unaofaa.
Furahi baada ya kufanikiwa kwa jambo ulilolitaka.
1. Ngoma kubwa inayosimama kwa miguu mitatu. 2. Ngoma ya kucheza kwa mpangilio wa mduara. 3. Vazi lisilo na mikono linalompwaya mvaaji.
1. Kikundi maalumu cha kujifunza na kuimba nyimbo. 2. Uimbaji wa pamoja wa kikundi cha waimbaji.
Poteza fahamu au nguvu kwa athari ya pombe au dawa.
1. Mtu anayeshiriki ngono kwa namna inayohesabiwa kuwa uzinzi. 2. Mtu anayetoa huduma ya ngono kwa malipo.
Pombe ya jadi inayotokana na pumba za nafaka.
Mkombozi wa binadamu katika imani ya Kikristo.
Hasira kali inayompanda mtu.
Mmea mrefu wenye makundi ya miiba.
Mtu anayechunguza na kueneza mambo ya wengine.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.