1. Kauli ya kukubali au kuridhia jambo.
Kihisishi
Mfano wa matumizi
Haya! Tutakutana kesho asubuhi.
2. Mwito wa kuwatayarisha watu waanze jambo.
Kihisishi
Mfano wa matumizi
Haya! Tuondokeni kabla ya giza.
1. All right; expression of agreement.
Kihisishi
Example
All right! We will meet tomorrow morning.
2. Come on; call urging people to begin.
Kihisishi
Example
Come on! Let us leave before dark.
1. D’accord; expression d’acceptation.
Kihisishi
Exemple
D’accord ! Nous nous retrouverons demain matin.
2. Allons; appel invitant à commencer.
Kihisishi
Exemple
Allons ! Partons avant la nuit.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi