kayaya

0

1. Kelele za furaha na hoihoi katika sherehe.

Nomino
Mfano wa matumizi Kayaya zilisikika washindi walipoingia uwanjani.

2. Kwa wingi au kiwango cha kupita kiasi.

Kielezi
Mfano wa matumizi Aliongea kayayakayaya hadi wenzake wakachoka.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →