Vinjari kwa Silabi

Silabi: to

Vimepatikana vidahizo 142 vinavyoishia kwa silabi to.

Ukurasa 1 / 3 Jumla 142

Vidahizo

50 kwenye ukurasa huu

batobato

1. Eneo tambarare la wazi lisilo na miti. 2. Uwanja uliotengwa kwa kuchezea ngoma. 3. Baka au mchirizi unaoonekana kwenye ngozi ya mnyama au mdud...

changamoto

1. Jambo linalohitaji juhudi, ujuzi au ujasiri kulitatua. 2. Msukumo wa kutambua hali yako na kufikiria jinsi ya kuiboresha.

gwato

1. Gongo la kumtegemeza mtu mwenye mguu ulioathirika anapotembea. 2. Mtego wa mguu unaotumiwa na mcheza miereka kumwangusha mwenzake. 3. Mti mref...

kato

1. Kiasi kinachoondolewa kwenye malipo, hasa mshahara. 2. Tendo la kutenganisha sehemu kwa makali. 3. Jino la mbele la kukatia chakula.

keto

1. Yenye kina kirefu. 2. Mkunjo wa ngozi unaoonekana kwenye mwili mnene.

kidato

1. Ngazi ya darasa katika elimu ya sekondari. 2. Mkato wa kukanyagia unapopanda mti. 3. Sehemu moja ya kukanyagia katika ngazi.

kidoto

1. Kitambaa cha kufunika macho ya ngamia safarini. 2. Kibakuli cha miyaa au mianzi cha kuhifadhia vitu vidogo.

kikuto

1. Mnyama wa jamii ya fisi mwenye madoadoa mengi. 2. Kitu kilichoviringishwa kikawa kama mche au pia.

kinukamito

1. Mtu anayehama sehemu moja kwenda nyingine mara kwa mara. 2. Mwanamume anayeoa na kuacha wake mara kwa mara.

kipeto

1. Bumba la vitu lililofungwa ili vilivyomo visitawanyike. 2. Gunia la nafaka lililozidi nusu lakini halijajaa.

kiroboto

1. Mpiganaji anayekodiwa kwa kazi ya ulinzi au vita. 2. Mdudu mdogo wa kuuma anayeweza kuishi kwenye manyoya ya wanyama.

kito

1. Jiwe la thamani linalotumiwa kutengeneza mapambo. 2. Mchezo wa watoto wa kutafuta kitu kilichofichwa.

koto

1. Ada ya mwanzo anayopewa mwalimu mtoto anapoingizwa chuoni. 2. Ndoano kubwa imara ya kuvulia samaki wakubwa. 3. Tabia au mwenendo usiokubalika....

kumto

1. Tendo la kutikisa kitu kwa nguvu ili vumbi litoke. 2. Pigo kubwa la nguvu kama ngumi.