Mtu anayejulikana au kudhaniwa kuwa na fedha nyingi.
Nomino
Mfano wa matumizi
Wakazi walimhesabu mfanyabiashara huyo kuwa kizito.
Wealthy person; someone regarded as having a great deal of money.
Nomino
Example
Residents regarded that trader as a wealthy person.
Personne fortunée; individu considéré comme possédant beaucoup d'argent.
Nomino
Exemple
Les habitants considéraient ce commerçant comme une personne fortunée.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Tanbihi
Si rasmi.