kipeto

0

1. Bumba la vitu lililofungwa ili vilivyomo visitawanyike.

Nomino
Mfano wa matumizi Mgeni alifika na kipeto cha vitabu.

2. Gunia la nafaka lililozidi nusu lakini halijajaa.

Nomino
Mfano wa matumizi Aliuza kipeto cha mahindi yaliyobaki.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →