Vinjari kwa Silabi

Silabi: shi

Vimepatikana vidahizo 134 vinavyoishia kwa silabi shi.

Ukurasa 2 / 3 Jumla 134

Vidahizo

50 kwenye ukurasa huu

mfarishi

1. Godoro jembamba lililokazwa kwa vipande wakati wa kushonwa. 2. Mtu anayepanga malazi kitandani.

mlishi

1. Mhudumu anayetoa chakula kwa watu katika karamu. 2. Mtu anayewalisha au kuwachunga wanyama.

moshi

1. Wingu la chembe na gesi linalotoka katika kinachoungua. 2. Wingu jeupe la pumzi linaloonekana katika baridi kali. 3. Mvuke unaoonekana juu ya ...

mtalaleshi

1. Mtu anayesambaza habari zinazowahusu wengine. 2. Mjumbe wa kupeleka habari za siri, hasa mwanamke. 3. Mtu anayepata malipo kwa ngono au kuitaf...

mzishi

1. Mtu anayefanya shughuli za kumzika marehemu. 2. Mtu anayemsaidia ndugu au rafiki mwenye dhiki.

nakshi

1. Urembo wa michoro, uchongaji au tarizi. 2. Kupamba kitu kwa michoro, uchongaji au tarizi.

pishi

1. Chombo cha kupimia nafaka kinachofanana na kibaba. 2. Kiasi cha nafaka kilichotengwa kwa kupikwa. 3. Kipimo cha nafaka kinachotoshana na vibab...

shashi

1. Fulana nyepesi iliyotengenezwa kwa kitambaa chembamba. 2. Karatasi yenye unene na uzito mdogo sana.

sheshi

1. Karatasi nyepesi yenye unene mdogo. 2. Kitambaa chepesi na chembamba cha kushonea kanzu.