Mtu mwenye uwezo wa kuwahamasisha wengine washiriki tukio.
Nomino
Mfano wa matumizi
Shaushi aliwahamasisha wakazi kufanya usafi.
Mobiliser; a persuasive person who rallies others to an activity.
Nomino
Example
The mobiliser rallied the residents to clean up.
Mobilisateur; personne persuasive qui entraîne d'autres personnes dans une activité.
Nomino
Exemple
Le mobilisateur a entraîné les habitants dans une activité de nettoyage.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi