Vinjari kwa Silabi

Silabi: shi

Vimepatikana vidahizo 134 vinavyoishia kwa silabi shi.

Ukurasa 3 / 3 Jumla 134

Vidahizo

34 kwenye ukurasa huu

uandishi

1. Tendo au namna ya kuandika. 2. Kazi ya kuandaa vitabu, magazeti au maandishi mengine. 3. Upangaji wa chakula mezani kwa ajili ya kuliwa.

utumishi

1. Kazi inayofanywa chini ya kanuni za ajira. 2. Idara inayoshughulikia wafanyakazi wa serikali.