thakilisha
Mletee mtu taabu au mateso.
Vimepatikana vidahizo 356 vinavyoishia kwa silabi sha.
Mletee mtu taabu au mateso.
Namba kumi na mbili.
Toa ushahidi unaobainisha ukweli wa jambo.
Sogeza kitu huku na huku; tikisa.
Sababisha mtu awe na hofu au wasiwasi.
Andazi tamu la unga wa ngano, tui na sukari au asali.
Bainisha sifa zinazotenganisha vitu vinavyolinganishwa.
Safisha kitu ili najisi iondoke.
1. Fanya andiko lichapishwe na kusambazwa. 2. Sababisha mtu atoe kitu.
1. Gusa jeraha na kuamsha maumivu yake. 2. Mkumbushe mtu huzuni ya tukio la zamani.
1. Ondoka kwa siri na mwanamke asiye mwenzi wako ukamfiche. 2. Hamisha watu kwa siri kutoka walipokuwa. 3. Mtoe mfungwa kwa siri na kumficha.
Fikia kiasi kinachohitajika.
Ingiza mtu au kitu ndani ya maji.
Vuruga maji yaliyotulia.
1. Toa salamu, hasa kwa wakubwa wa umri. 2. Mjulie hali mke katika siku isiyo zamu yake.
1. Msaidie mtu kuuweka mzigo kichwani au begani. 2. Weka mzigo juu ya mgongo wa mnyama.
Hulka ya kupenda kumpenya mwingine kupitia mkundu.
Tabia ya kuonesha furaha mbele ya watu.
Kupunguza nguvu, ubora au hadhi ya kitu au mtu.
Mfanye mwingine akereke au akasirike.
Utaratibu wa kumwezesha mwingine kupata maarifa.
1. Kukifanya kitu kiwe kigumu au kishikamane. 2. Kumfanya mtu asubiri mahali muda mrefu.
Kuunganisha dutu tofauti kuwa mchanganyiko.
Uondoaji wa utegemezi kwa mtawala mwingine.
Kubadili sauti itamkiwe kaakaani.
1. Kutumia mali ya mwingine kwa malipo. 2. Kuruhusu wengine watumie mali yako kwa malipo.
Tendo la kukifanya kitu kiwe laini au kupunguza ugumu wake.
Kumfanya mtu akiri kosa.
Kuvifanya vitu viwe pamoja.
1. Kugeuza eneo lisilofaa kuwa la matumizi. 2. Kufanya vitu visivyofaa vitumike tena.
Kutoa mvumo kama mawimbi.
1. Kumsaidia mtu kuvaa. 2. Kumpatia mtu mavazi ya kumtunza.
Kufanya kitu kitune.
Kukifanya kitu kisogee kwa kubingirika.
1. Kumweka mtu katika mavazi. 2. Kumpatia mtu mahitaji ya mavazi.
1. Kupeleka upande wa pili wa kizuizi. 2. Kupitisha mpaka bila kibali kinachohitajika.
Kumtaka mtu atimize wajibu wake.
Kupima muda wa shughuli kwa kifaa.
Kutenga mali kwa kusudi lililoagizwa.
Kutenda kwa niaba ya mwingine.
Mkutano wa kujifunza kwa majadiliano na vitendo.
1. Kusababisha hisia ya kutaka kujikuna. 2. Kuanzisha moto au mwako.
1. Kufikisha kitu kwa mpokeaji. 2. Kutoa mada mbele ya hadhira.
Kukatia safari tiketi mapema.
Kusaidia jambo liweze kufanyika.
Kufanya kitu kigumu kiwe kioevu kwa kukipasha.
1. Kumsaidia mwanamke katika kujifungua. 2. Kukuza mimea ili kupata mazao. 3. Kutengeneza bidhaa kwa shughuli za viwandani. 4. Kupata faida au o...
Kusababisha kuonekana au kuwa cha umri mkubwa.
1. Kufanya kiasi au kiwango kiwe kikubwa zaidi. 2. Kukokotoa kwa kuongeza kiasi kwa mara fulani.
Kumwingiza mtu katika hali ngumu.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.