Vinjari kwa Silabi

Silabi: o

Vimepatikana vidahizo 142 vinavyoishia kwa silabi o.

Ukurasa 1 / 3 Jumla 142

Vidahizo

50 kwenye ukurasa huu

bao

1. Pande la mti lililopasuliwa na kutayarishwa kukaliwa kama benchi. 2. Ubao wenye mashimo unaotumiwa kuchezea kwa vijiwe, mbegu au kete. 3. Mche...

begeo

Kupungua kwa kalisiamu kwenye damu ya ng’ombe karibu na kuzaa au mwanzoni mwa utoaji wa maziwa.

chaguo

1. Kitu au mtu anayependelewa au aliyeteuliwa. 2. Tendo au uamuzi wa kuteua kitu au mtu.

chao

1. Gogo la kuviringishia au kusukushia chombo cha majini. 2. Eneo linalozunguka shina la mti linalowekewa maji na mbolea. 3. Umbo la umilikishi l...

cheo

1. Ukubwa wa vazi au kiatu unaomfaa mvaaji. 2. Ubao unaotumiwa kusaidia kusuka ukili. 3. Mtaimbo wa kuondolea maganda ya nazi. 4. Kifimbo cha ch...

chuchio

1. Tendo la kumtikisa mtoto kwa upole ili kumtuliza. 2. Tendo linalohusishwa na kupandisha pepo katika imani za jadi.

chuo

1. Shule ya kujifunza kusoma Kurani. 2. Kitabu cha maandishi ya Kiarabu katika matumizi ya Kiislamu. 3. Ndoa, hasa katika kutaja idadi ya ndoa al...

fichuo

1. Pesa au zawadi ya bwana harusi ya kumwona mkewe baada ya ndoa. 2. Zawadi ya msichana aliyevunja ungo au aliyemaliza unyago.

fuo

1. Sehemu iliyotengwa au inayotumiwa kufulia mavazi. 2. Kitendo cha kuosha nguo. 3. Povu au viputo vinavyokusanyika juu ya maji.

janguo

1. Wakati uliopangwa wa kuangua nazi. 2. Uvunaji wa nazi nyingi kwa pamoja. 3. Malipo ya kazi yanayotolewa kila mwezi.

jaribio

1. Zoezi la kupima uelewa wa mwanafunzi. 2. Uchunguzi wa kisayansi unaofanywa maabarani. 3. Tendo la kutafuta maarifa kutokana na matokeo.

kituo

1. Mahali pa kupumzika kwa muda katika safari. 2. Jengo au eneo linalotumiwa kutoa huduma maalumu. 3. Mahali maalumu pa kupakia au kushusha abiri...

kivutio

1. Kitu au jambo linalompa mtu hamu ya kuliona. 2. Mahali au kitu kinachowavutia watalii.