Maana 1
Kufanya jambo kwa haraka kupita kiasi au bila kutafakari vya kutosha.
Mfano wa matumizi: Usihario kazi zako, fanya kwa utaratibu na umakini.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.