chao

Kiambishi umilikishi kinachotumika kuonesha kuwa kitu ni mali ya kundi la watu (wao), au kinahusiana nao.

Kiambishi umilikishi cha ngeli ya A-WA kinachoashiria umiliki wa wao.

Maana

2 jumla

Asili ya neno

Kiswahili