tandiko

Kifaa kinachotandikwa juu ya mgongo wa mnyama kama punda, farasi, au ngamia ili mtu akae au kuweka mzigo.

Kifaa cha kuwekwa juu ya mnyama ili kurahisisha kubeba mtu au mizigo.

Maana

2 jumla

Asili ya neno

Kiswahili