1. Paka ukuta wa miti udongo ulioloweshwa.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Wajenzi walikandika kuta za nyumba.
2. Piga kitu kwa mkono au bakora.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Alikandika mkeka kwa bakora kuondoa vumbi.
1. Daub; coat a timber-framed wall with wet clay.
Kitenzi
Example
The builders daubed the house walls with clay.
2. Strike; hit something with a hand or stick.
Kitenzi
Example
He beat the mat with a stick to remove the dust.
1. Torchisser; enduire de terre humide un mur à ossature de bois.
Kitenzi
Exemple
Les constructeurs ont enduit de terre les murs de la maison.
2. Frapper; porter un coup avec la main ou un bâton.
Kitenzi
Exemple
Il a frappé la natte avec un bâton pour enlever la poussière.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi