Vinjari kwa Silabi

Silabi: ji

Vimepatikana vidahizo 636 vinavyoishia kwa silabi ji.

Ukurasa 10 / 13 Jumla 636

Vidahizo

50 kwenye ukurasa huu

uokotaji

1. Kuinua kilichokuwa chini au kilichoanguka. 2. Uchawi unaohusishwa na kitu cha mhanga.

uotaji

1. Kuona mambo ukiwa usingizini. 2. Kuchipuka kwa mimea kutoka mbegu. 3. Kukaa motoni au juani kupata joto.

upachikaji

1. Kuweka kitu kati au ndani ya vingine. 2. Kuingiza sauti ndani ya neno. 3. Kumpa mtu sifa njema asizostahili. 4. Ufungaji wa magoli katika kan...

upakuaji

1. Kutoa mizigo kutoka chombo cha usafiri. 2. Kuhamisha data kutoka mtandaoni hadi kifaani.

upatilizaji

1. Kuachia kitu kilichokuwa mwilini kianguke. 2. Adhabu inayohusishwa na matendo mabaya. 3. Kumwombea mtu apatwe na mabaya. 4. Kulipa jambo uzit...