upepetaji

0

1. Uchambuaji wa nafaka kwa kupeperusha.

Nomino
Mfano wa matumizi Upepetaji wa mpunga uliendelea.

2. Uchezaji wa kiuno kwa madaha.

Nomino
Mfano wa matumizi Upepetaji wake uliwavutia watazamaji.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →