Vinjari kwa Silabi

Silabi: ji

Vimepatikana vidahizo 636 vinavyoishia kwa silabi ji.

Ukurasa 11 / 13 Jumla 636

Vidahizo

50 kwenye ukurasa huu

upoozaji

1. Kupungua kwa ladha nzuri ya chakula. 2. Kukosekana kwa uchangamfu kati ya watu. 3. Kupotea kwa nguvu ya kiungo cha mwili.

ushindiliaji

1. Kukilazimisha kitu kuingia sehemu finyu. 2. Kuingiza kitu kwa kukikandamiza. 3. Kusisitiza mtu ahesabiwe mwenye hatia.