Vinjari kwa Silabi

Silabi: ji

Vimepatikana vidahizo 636 vinavyoishia kwa silabi ji.

Ukurasa 8 / 13 Jumla 636

Vidahizo

50 kwenye ukurasa huu

uhamiaji

1. Kwenda kukaa sehemu au nchi nyingine. 2. Usimamizi wa serikali wa wanaoingia na kutoka nchini.

uhawilishaji

1. Matumizi ya maarifa ya somo katika somo jingine. 2. Uwasilishaji wa ujumbe katika lugha nyingine. 3. Uwekaji wa mbegu ya dume kwa jike kwa msa...

ujuaji

1. Kujifanya mwenye maarifa mengi kuliko wengine. 2. Utambuzi unaotokana na kufahamu mambo.

ukandaji

1. Usongaji wa donge la unga kwa mikono. 2. Usuguaji wa sehemu iliyovimba kwa kitambaa au pamba.