1. Chomeka mawe katika ukuta ambao bado ni mbichi.
Kitenzi2. Andika maelezo ya kidahizo ndani ya kamusi.
Kitenzi3. Shindilia nafaka ndani ya gunia.
Kitenzi1. Embed stones; press stones into a fresh wall to strengthen it.
Kitenzi2. Compile an entry; write a headword’s definition and supporting dictionary information.
Kitenzi3. Pack grain tightly; press grain firmly into a sack.
Kitenzi1. Incruster des pierres; insérer des pierres dans un mur encore frais pour le renforcer.
Kitenzi2. Rédiger une entrée; écrire la définition et les informations d’un mot dans un dictionnaire.
Kitenzi3. Tasser des grains; serrer des céréales dans un sac.
KitenziTafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi