ukoa

Kukwangua mabaki ya chakula yaliyogandamana kwenye sufuria au chombo ili kuyatoa.

Kutenda kitendo cha kukwangua mabaki ya chakula kwenye chombo.

Maana

2 jumla

Visawe

1 jumla
kwangua

Asili ya neno

Kiswahili