1. Namna au mtindo wa kushona nguo.
Nomino
Mfano wa matumizi
Mshono wa kanzu ulipendeza.
2. Sehemu iliyounganishwa kwa kushonwa.
Nomino
Mfano wa matumizi
Mshono wa shati ulilegea.
1. Sewing style; manner or design of garment stitching.
Nomino
Example
The robe's sewing style was attractive.
2. Seam; place where material has been stitched.
Nomino
Example
The shirt seam came loose.
1. Style de couture; manière ou forme de confection d'un vêtement.
Nomino
Exemple
La coupe de la tunique était plaisante.
2. Couture; endroit où un matériau a été assemblé par des points.
Nomino
Exemple
La couture de la chemise s'est défaite.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi