Maana 1
Namba au kiasi kinachopatikana baada ya kujumlisha vitu viwili au zaidi.
Mfano wa matumizi: Jumlisho la tano na saba ni kumi na mbili.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.