karakara
Tunda la mbegu nyeusi linalotumiwa kutengeneza juisi.
Vimepatikana vidahizo 284 vinavyoishia kwa silabi ra.
Tunda la mbegu nyeusi linalotumiwa kutengeneza juisi.
1. Sehemu kavu ya mnazi iliyokuwa imebeba nazi. 2. Makumbi yanayopatikana kwenye mkonge. 3. Andazi la ngano lililotiwa shira baada ya kuchomwa.
Alama ya hati ya Kiarabu inayoonyesha sauti fupi ya i.
Gari la zamani lililochakaa sana.
Mfanyie mtu jambo linalomchukiza.
1. Mtu asiye na mali wala uwezo wa kujikimu. 2. Kofia iliyochakaa sana.
1. Malipo yanayotolewa kama kodi. 2. Mnyama wa ardhini mwenye pua ndefu anayekaa kwenye mashimo. 3. Mti mkubwa unaofanana na mvinje kwa shina na ...
1. Shamba lenye eneo dogo. 2. Shina la mmea wa muwa.
Kuku wa jinsia ya dume.
1. Mtu aliye mbele katika kuongoza kikundi au mkutano. 2. Jukwaa au kibanda cha shughuli maalumu za Kiislamu. 3. Kifaa cha kushikilia mshumaa usi...
Mnyama mdogo wa jamii ya paa mwenye pembe fupi zenye vifundo.
Pepo mwovu wa maeneo kama mapango, mibuyu na mito katika imani za jadi.
1. Sehemu ya kichwa ambako nywele zimeondoka. 2. Sehemu ya utosi isiyoota nywele kutokana na maumbile.
1. Randa iliyotengenezwa kwa kuchonga sehemu zenye umbo la duara. 2. Umbo lenye mzunguko wa duara.
Njiwa mdogo mwenye manyoya ya rangi ya shaba na tabia ya kuimba juani.
Egemeo la chuma la kushikilia kasia wakati wa kupiga makasia.
Mkate mwembamba sana wa unga wa ngano.
Alama ya irabu fupi ya i inayoandikwa chini ya herufi ya Kiarabu.
1. Jina la upendo au usuhuba kati ya vijana. 2. Msichana mwenye uso unaopendeza.
1. Upanga mwembamba unaotumiwa hasa kuongozea gwaride. 2. Sehemu iliyotayarishwa kwa kuanikia na kukausha mbegu au nafaka.
1. Eneo wazi lililojaa magugu na makwekwe. 2. Eneo la wazi lenye mchanga na rutuba ndogo.
1. Risasi kubwa yenye mlipuko inayofyatuliwa kwa mzinga. 2. Shuti la mpira lenye nguvu kubwa na gumu kwa kipa kulizuia.
Uwezo wa pekee wa Mungu kutenda analotaka.
Ndege mweusimweusi wa majini mwenye miguu, shingo na mdomo mirefu.
Uchaguzi wa kumpata kiongozi kutoka miongoni mwa wanaowania nafasi.
Kaa mdogo mweupe wa upwa wa bahari.
Ndege wa kufanana na korongo lakini wa miguu na mdomo mifupi zaidi.
Sarafu iliyotumiwa nchini Italia kabla ya yuro.
Chumba chenye vifaa vya kufanyia majaribio ya sayansi.
Mtu au watu waliotoa udhuru wa kutohudhuria.
Utafutaji wa kitu kwa kuchokora chini au ndani ya vingine.
Athari mbaya zinazoharibu au kuumiza.
-liyokwisha kutajwa au kubainishwa.
Msamaha wa Mungu kwa makosa ya binadamu.
1. Kipindi cha mwaka chenye hali fulani ya hewa. 2. Muda uliopangwa kwa shughuli fulani. 3. Wakati maalumu unaotambulika.
Uwezo wa Mungu wa kutimiza apendalo.
1. Hesabu ya kutokea au kufanywa kwa jambo. 2. Neno la hesabu linaloonesha kuzidisha idadi. 3. Bila kuchelewa baada ya jambo.
Madoa yaliyosambaa katika mwili.
Vitendo au kauli za kutania au kudhihaki.
Mashapo mazito ya pombe yaliyotulia chini.
Mahali penye makaburi ya waliokufa.
Mambo yanayohusishwa na uchawi.
1. Sehemu zilizo kandokando ya makazi. 2. Jumla ya vitu na hali zinazomzunguka binadamu.
Ubao wa kuunganisha mrengu wa ngalawa.
1. Mti wa matunda madogo ya kahawia wenye maua ya njano. 2. Tunda dogo la kahawia linalozaliwa na mti wa mbura.
Umbo refu la mviringo lenye pande za duara.
Mtu mwenye mwanya katika mdomo wa juu.
1. Umbo la mviringo linalozunguka sehemu ya kati. 2. Uchezaji wa taarabu kwa kupanga mviringo.
Mtu anayesemwa kuwa mambo yake hayafanikiwi.
Mtu anayenunua na kuuza bidhaa kwa lengo la faida.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.