Maana 1
Hali ya kutenda jambo kwa haraka mno bila kufikiri au bila umakini; papara.
Mfano wa matumizi: Alifanya uamuzi kwa kiharara na kujuta baadaye.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.