mazingira

0

1. Sehemu zilizo kandokando ya makazi.

Nomino
Mfano wa matumizi Wanakijiji walisafisha mazingira ya nyumba zao.

2. Jumla ya vitu na hali zinazomzunguka binadamu.

Nomino
Mfano wa matumizi Shule ilifundisha umuhimu wa kutunza mazingira.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →