Vinjari kwa Silabi

Silabi: ni

Vimepatikana vidahizo 578 vinavyoishia kwa silabi ni.

Ukurasa 12 / 12 Jumla 578

Vidahizo

28 kwenye ukurasa huu

yakini

1. Uhakika unaotokana na kuthibitika kwa jambo. 2. Kuwa na hakika ya jambo. 3. Chenye ukweli au uhalisi uliothibitishwa.

zabuni

1. Kununua kwa kushindanisha masharti ya wauzaji. 2. Kuuza kwa kushindanisha matoleo ya wanunuzi. 3. Utaratibu wa kupata bidhaa au huduma kwa mat...

zafarani

1. Rangi ya manjano iliyokolea. 2. Kiungo cha chakula kinachotoa harufu na rangi ya manjano.