Maana 1
Kufikiria jambo au mtu kwa msingi wa dhana au hisia bila kuwa na ushahidi wa moja kwa moja.
Mfano wa matumizi: Usimzani mtu vibaya kabla ya kujua ukweli.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.