korongo
1. Mwanya mrefu wa ardhini uliochimbwa na maji yanayotiririka. 2. Ndege wa karibu na maji mwenye shingo na miguu mirefu. 3. Mtambo wa kuinua na k...
Vimepatikana vidahizo 126 vinavyoishia kwa silabi ngo.
1. Mwanya mrefu wa ardhini uliochimbwa na maji yanayotiririka. 2. Ndege wa karibu na maji mwenye shingo na miguu mirefu. 3. Mtambo wa kuinua na k...
Fungu la mbao au miti lililopangwa kwa kuuzwa.
1. Mwelekeo wa kitu kilichorushwa kupotoka upande uliokusudiwa. 2. Mstari unaoenda kwa mshazari.
1. Tabia ya kujiona mwenye ubora kuliko wengine. 2. Mwendo wa kujionesha kwa mikogo.
Waya mnene wa shaba wa kutengenezea mapambo.
Ubatilishaji wa sheria au ndoa.
Mwili unaobeba sehemu mbalimbali za kiumbe.
1. Ngiri mwenye meno mawili yaliyochomoza nje. 2. Fedha au mali anazomiliki mtu.
Mpindo uliopo katika sehemu ya mwanzo ya mti.
Mmea wa kutambaa wenye matunda makubwa yanayofyonzwa.
1. Fedha au vitu vinavyotolewa kusaidia shughuli maalumu. 2. Mnyoo mrefu mwembamba unaoishi ndani ya utumbo.
Ukatwaji wa mimea wakati wa mavuno au kupunguza uzio.
1. Kuacha kula na kunywa kwa muda kwa ibada ya Kiislamu. 2. Kipindi kilichowekwa kwa Waislamu kufunga.
Mti wenye utomvu wa kuzibia nyufa za nyungo.
Namna ya kufunga sehemu iliyovunjika.
Sehemu ya nyuma ya mwili kuanzia shingoni hadi kiunoni.
Kujizuia kutumia kitu au kufanya tendo fulani.
Sauti za kuugua anazotoa mgonjwa aliyezidiwa.
1. Namna kitu kilivyoundwa au kujengwa. 2. Mti unaotumika kama kifaa cha kujengea.
Mti wenye gome lenye nyuzinyuzi kama kamba.
1. Uwazi wa ukutani wa kuingilia au kutokea. 2. Uwazi unaopitishia kitu ndani au nje. 3. Kizibo cha uwazi wa kuingilia au kutokea kwenye jengo. ...
Sehemu inayolengwa au mahali kitu kinapoonekana vizuri.
Mfuatano mrefu wa watu, wanyama au vitu.
Mti mkubwa wenye majani na matunda madogo yanayoliwa.
Msimamo wa kisiasa unaotokana na itikadi.
Mtaalamu anayebuni na kuchora ramani za majengo.
Mtu mwenye mazoea ya kufanya ngono na watu mbalimbali.
1. Tendo au namna ya kukoroga kwa nguvu, kubana au kusokota kitu. 2. Namna ya kusuka nywele. 3. Uchovu na hofu vinavyotokana na kubanwa na mawazo...
Mtu ambaye hajapitia jando wala unyago.
Tendo la kutenganisha au hali ya kuwa mbali na wengine.
Mti wenye utomvu wa sumu.
Shanga au samaki wengi waliounganishwa katika kicha kimoja.
Sehemu ya vitu vilivyoungana pamoja.
Umbo lenye duara au mzingo.
1. Mkia uliokaushwa wa nyumbu au twiga, utumiwao kuchezea ngoma au kupungia wadudu. 2. Harufu inayotolewa na viumbe mbalimbali wa baharini.
1. Mtu mwenye mazoea ya kusema yasiyo ya kweli. 2. Kipindi cha muda kinachofikia hadi miaka kumi. 3. Mgawo wa vipindi katika makundi ya kumi kumi...
1. Umbo linalofanana na duara. 2. Harufu kali na mbaya sana.
Tunda dogo la mng'ongo lenye umbo la duara na rangi ya maziwa likiiva.
Gari lililoharibika sana na lisiloweza kutembea.
1. Majimaji ya ini yanayosaidia kusaga mafuta. 2. Maji ya bahari yaliyowekwa ili kupata chumvi yakikauka.
Mwenye mazoea ya kusema yasiyo ya kweli.
1. Sehemu ya mwili inayounganisha kichwa na kiwiliwili. 2. Sehemu nyembamba ya kitu kama iliyo karibu na mdomo wa chupa.
Hali ya kutenda jambo kwa haraka.
1. Kifaa cha mfano wa sponji cha kuogea au kusafishia. 2. Jiwe la kusugulia wayo ili kuondoa ngozi ngumu.
Hali ya vurugu na kutokuelewana.
Yenye mipindo mingi isiyonyooka.
1. Tunda refu nene la mtango linaloliwa bichi. 2. Matembezi yasiyo na kusudi maalumu.
Ubawa wa kusawazisha ngalawa majini.
1. Taka ndogondogo zinazokusanyika machoni. 2. Mahali palipoachwa baada ya kuwa makazi ya watu. 3. Ndege wadogo weusi wanaoruka katika makundi.
Kipashio cha sarufi kilichoundwa kwa vipashio vingine.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.