Vinjari kwa Silabi

Silabi: ngo

Vimepatikana vidahizo 126 vinavyoishia kwa silabi ngo.

Ukurasa 3 / 3 Jumla 126

Vidahizo

26 kwenye ukurasa huu

udongo

1. Tabaka la juu la ardhi linaloota mimea. 2. Tope laini linalotumiwa kufinyanga vyombo.

ukaango

1. Kifuniko cha sehemu ya mnazi inayobeba nazi. 2. Chungu kikubwa cha kupikia wali wa karamu.

ulingo

1. Kichanja kilichoinuliwa shambani kwa ajili ya kuangalia na kulinda mazao dhidi ya waharibifu. 2. Jukwaa au sehemu iliyotengwa kwa mkutano, onye...

utongo

1. Uchafu unaokusanyika machoni. 2. Ndege mdogo wa jamii ya sigi anayeruka kwa makundi.