1. Tendo au namna ya kukoroga kwa nguvu, kubana au kusokota kitu.
Nomino2. Namna ya kusuka nywele.
Nomino3. Uchovu na hofu vinavyotokana na kubanwa na mawazo mazito.
Nomino1. Working or twisting; act or manner of stirring firmly, compressing or twisting something.
Nomino2. Braiding style; manner of arranging hair in braids.
Nomino3. Stress; mental strain accompanied by fatigue and worry.
Nomino1. Malaxage ou torsion; action de remuer vigoureusement, comprimer ou tordre une chose.
Nomino2. Style de tressage; manière d'agencer les cheveux en tresses.
Nomino3. Stress; tension mentale accompagnée de fatigue et d'inquiétude.
NominoTafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi