Vinjari kwa Silabi

Silabi: ndo

Vimepatikana vidahizo 76 vinavyoishia kwa silabi ndo.

Ukurasa 1 / 2 Jumla 76

Vidahizo

50 kwenye ukurasa huu

chando

1. Mtoto wa kwanza kufanyiwa tohara katika kundi la jando. 2. Ngoma ambayo wachezaji wawili hukutana katikati, hupeana chambi na kurudi kwenye naf...

chondo

1. Ala kubwa ya muziki yenye vipande vinavyopigwa kutoa sauti; marimba makubwa. 2. Ngoma kubwa inayopigwa kuwakusanya watu au kutangaza tukio kama...

dondo

1. Kauri ya fundi cherehani ya kulazia kingo za nguo. 2. Wanga unaowekwa kwenye kitambaa ili kiwe kigumu. 3. Aina ya kaa asiyetumiwa kama chakula.

fundo

1. Tanzi lililofungwa kuunganisha kamba au uzi. 2. Mfungo unaotokana na uzi au kamba kujizungusha. 3. Kinyongo au hisia za chuki zinazobaki moyon...

gando

1. Sehemu ya kukamata ya kaa au mnyama wa jamii ya chago. 2. Mguu wa kamba, chago au kaa.

hando

1. Vazi la wanawake wa Mijikenda linalofanana na sketi. 2. Mtungi wa shaba wenye mdomo mwembamba wa kuhifadhia maji. 3. Andazi bapa linalokaangwa...

jando

1. Tohara inayofanywa kwa vijana wa kiume. 2. Mafundisho ya utu uzima kwa vijana waliotahiriwa.

kando

1. Pembeni mwa kitu au eneo linalotajwa. 2. Mahali pa pembeni au upande mwingine.

kibindo

1. Mkunjo wa nguo ya kiunoni wa kuhifadhia fedha. 2. Mfuko wa kuhifadhia vitu vidogovidogo.

kilindo

1. Chombo cha magome cha kuhifadhia tumbaku. 2. Chombo cha ngozi cha kuhifadhi asali.

kimondo

1. Mstari wa mwanga unaopita kwa kasi angani wakati kipande cha angani kinapoungua hewani. 2. Mtu anayedharauliwa kwa kudaiwa kutofahamu mambo. 3...

kishindo

1. Mlio mkubwa unaosikika kwa nguvu. 2. Kitendo cha makusudi cha kumkera mwingine. 3. Jambo kubwa lenye athari au uzito mkubwa. 4. Kichuguu kina...

kondo

1. Mapigano kati ya watu au makundi. 2. Hali ya mwili kunawiri na kuwa na afya njema. 3. Kipindi cha mama kupumzika baada ya kujifungua. 4. Kond...

magendo

1. Biashara inayoendeshwa kwa njia haramu. 2. Mahusiano ya kimapenzi na asiye mwenzi wako wa ndoa.

mdundo

1. Pigo linalotolewa kwenye ngoma. 2. Kuruka juu baada ya kitu kugonga uso mgumu. 3. Utendaji wa kutwanga kwa kutumia mchi.

mfundo

1. Chuki inayobaki moyoni baada ya kutendewa vibaya. 2. Mafunzo ya ndoa yanayopewa mwanamke kabla ya kuolewa.

mkondo

1. Mtiririko wa chaji za umeme katika njia ya kupitishia. 2. Njia inayoonekana nyasini baada ya kupitiwa na mtu au mnyama. 3. Njia ya maji yanayo...

mshindo

1. Sauti nzito ya kuanguka, kugongana au kulipuka kwa kitu. 2. Hali ya kufahamu habari za jambo. 3. Kilele cha msisimko wa kingono wakati wa tend...

msondo

1. Ngoma yenye ukubwa na urefu mkubwa. 2. Ngoma inayochezwa katika unyago wa wasichana. 3. Mdundo unaotolewa kwa kupiga ngoma kubwa. 4. Tarabush...

muundo

1. Umbile la kitu linalotokana na jinsi kilivyotengenezwa. 2. Namna inayofuatwa kutengeneza kitu. 3. Kanuni za sarufi zinazoongoza uhusiano wa ma...

mzalendo

1. Mtu anayeipenda nchi yake na yuko tayari kujitolea kuipigania. 2. Mtu wa asili ya mahali au aliyezaliwa hapo.