1. Umbile la kitu linalotokana na jinsi kilivyotengenezwa.
Nomino2. Namna inayofuatwa kutengeneza kitu.
Nomino3. Kanuni za sarufi zinazoongoza uhusiano wa maneno katika tungo.
Nomino1. Structure; form arising from how something is made.
Nomino2. Construction method; manner of making something.
Nomino3. Syntax; grammatical organisation of words in phrases, clauses or sentences.
Nomino1. Structure; forme issue de l'agencement d'une chose.
Nomino2. Mode de construction; manière de fabriquer une chose.
Nomino3. Syntaxe; organisation grammaticale des mots en groupes, propositions ou phrases.
NominoTafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi