Taaluma inayochunguza matumizi ya lugha katika mitindo ya uandishi.
Nomino
Mfano wa matumizi
Alitumia elimumtindo kuchambua shairi.
Stylistics; the study of distinctive patterns and effects in language use.
Nomino
Example
She used stylistics to analyse the poem.
Stylistique; étude des procédés et effets distinctifs de l’emploi de la langue.
Nomino
Exemple
Elle a utilisé la stylistique pour analyser le poème.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi