Vinjari kwa Silabi

Silabi: ma

Vimepatikana vidahizo 259 vinavyoishia kwa silabi ma.

Ukurasa 6 / 6 Jumla 259

Vidahizo

9 kwenye ukurasa huu

zama

1. Kuingia chini ya uso wa maji. 2. Kupotea chini ya upeo kwa Jua au Mwezi. 3. Kipindi kirefu chenye sifa za kihistoria.

zizima

1. Kuwa na baridi kali au kuihisi mwilini. 2. Kupigwa na butwaa au simanzi kubwa.