zizima

0

1. Kuwa na baridi kali au kuihisi mwilini.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Maji yalizizima asubuhi.

2. Kupigwa na butwaa au simanzi kubwa.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Alizizima aliposikia habari hizo.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →