Vinjari kwa Silabi

Silabi: lo

Vimepatikana vidahizo 33 vinavyoishia kwa silabi lo.

Ukurasa 1 / 1 Jumla 33

Vidahizo

33 kwenye ukurasa huu

dandalo

1. Ngoma inayochezwa na wachezaji wanaobeba magongo. 2. Nguzo ndefu kama ile ya kubebea nyaya za umeme.

halo!

1. Mwito wa kumvuta mtu akusikilize. 2. Salamu ya kuanza mazungumzo ya simu.

masalo

1. Mchuzi mzito wenye nyanya nyingi na vitunguu. 2. Nyanya zilizobonyea na kuharibika kwa kubanwa.

selo

1. Mlio wa kuashiria kuwasili au kuondoka kwa meli au treni. 2. Bendera ya kutoa ishara ya kuwasili au kuondoka kwa chombo.

solo

1. Mbegu za msolo zinazotumiwa kama kete za bao. 2. Tuta la shambani la kupunguza kasi ya maji yanayotiririka. 3. Mwimbaji anayeongoza wimbo wa k...

tabenakulo

1. Hema la ibada katika historia ya Wayahudi. 2. Kisanduku cha kanisani cha kuhifadhia hostia iliyowekwa wakfu.

talo

1. Mchezo wa timu mbili wa kupiga kipande cha mti na kukizuia au kukidaka. 2. Kipande cha mti kinachopigwa katika mchezo wa talo.

ulalo

1. Mahali pa kuweka kambi kwa ajili ya kulala au kupumzika. 2. Mstari unaounganisha pembe mbili zisizopakana katika mraba au mstatili.