halo!

0

1. Mwito wa kumvuta mtu akusikilize.

Kihisishi
Mfano wa matumizi Halo! Subiri kidogo.

2. Salamu ya kuanza mazungumzo ya simu.

Kihisishi
Mfano wa matumizi Halo! Naweza kuzungumza na Mukamana?
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →