Pasi ndefu ya juu kutoka pembeni kuelekea katikati au langoni.
Nomino
Mfano wa matumizi
Mchezaji alipiga majalo kuelekea langoni.
High cross; a long aerial pass from the wing towards the centre or goal.
Nomino
Example
The player delivered a high cross towards goal.
Centre aérien; longue passe haute venant d'un côté vers le centre ou le but.
Nomino
Exemple
Le joueur a adressé un centre aérien vers le but.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi