1. Mbegu za msolo zinazotumiwa kama kete za bao.
Nomino2. Tuta la shambani la kupunguza kasi ya maji yanayotiririka.
Nomino3. Mwimbaji anayeongoza wimbo wa kundi.
Nomino1. Bao counters; seeds of the msolo tree used as playing pieces.
Nomino2. Runoff barrier; an earth ridge made in a field to check fast-flowing water.
Nomino3. Lead singer; the person who leads a group's singing.
Nomino1. Graines de jeu; graines de l'arbre msolo utilisées comme pions au bao.
Nomino2. Digue de terre; levée aménagée dans un champ pour freiner le ruissellement.
Nomino3. Chanteur principal; personne qui mène le chant d'un groupe.
NominoTafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi