Vinjari kwa Silabi

Silabi: li

Vimepatikana vidahizo 413 vinavyoishia kwa silabi li.

Ukurasa 8 / 9 Jumla 413

Vidahizo

50 kwenye ukurasa huu

toroli

1. Kigari cha magurudumu manne kinachosukumwa juu ya reli. 2. Mkokoteni mdogo wa kubebea vitu unaosukumwa kwa mikono. 3. Kigari kidogo chenye mag...

ubatili

1. Hali ya jambo kutofaa au kukosa msingi. 2. Kutolingana na sheria au taratibu, hasa za dini.

ukali

1. Ghadhabu inayoonekana katika mwenendo. 2. Nguvu ya ladha chungu. 3. Nguvu au mkazo unaozidi kawaida.

ukili

1. Utepe wa kusukwa kwa majani ya ukindu au miyaa. 2. Kuwa na kusudi la kutenda jambo.

ulili

1. Kitanda chepesi kinachobebwa ili kusafirisha mtu, hasa mgonjwa. 2. Jukwaa dogo au kichanja cha shambani kinachotumiwa kwa shughuli za uangalizi...