uchukuzi
Usafirishaji wa watu au mizigo baina ya maeneo.
Vimepatikana vidahizo 530 vinavyoishia kwa silabi zi.
Usafirishaji wa watu au mizigo baina ya maeneo.
1. Utafutaji wa taarifa ili kufichua jambo lisilojulikana. 2. Utafiti wa kitaalamu unaotafuta ukweli wa jambo.
Biashara ndogo ya kununua na kuuza bidhaa.
Uelezaji wa jambo kwa undani unaoondoa utata.
Tabia ya kuingilia mazungumzo ya wengine.
Tabia ya kudakia mazungumzo yasiyokuhusu.
Hali ya kuwa na utelezi wa ute.
Hila za kuomba au kutaka kupewa kitu.
Tabia ya kuchukua vitu vya wengine kwa siri.
Uingiaji wa mahali bila idhini.
1. Utoaji kwa wengine wa habari zisizokuhusu. 2. Uingiaji wa mfumo wa kielektroniki bila ridhaa na kuchukua taarifa.
1. Ukusanyaji wa vitu vichache kila mara hadi viongezeke. 2. Upataji wa chakula kidogo kwa mapato machache.
Mshangao mkubwa unaomfanya mtu akose cha kusema.
Tabia ya kujiona mwerevu kuliko wengine.
Hali au tabia ya kutoa mwongozo.
Namna ya kufafanua jambo kwa maneno.
Hali ya kuenea katika sehemu nyingi.
Maelezo yanayoliweka jambo wazi baada ya kulichunguza.
Kazi ya kusafisha sehemu kwa kufagia.
Majivuno ya kujifanya mwenye maarifa mengi.
Upungufu wa ukali wa rangi, mwanga au nguvu.
Tishu ya kinywa inayozunguka na kushikilia meno.
1. Ugunduzi wa kitu kipya au kilichokuwa kimefichika. 2. Utatuzi unaomaliza ugumu wa jambo.
Hafla ya kuanzisha matumizi au shughuli rasmi.
Kazi ya kutoa tiba kwa wagonjwa.
Uhamishaji wa mamlaka ya serikali kwenda ngazi za chini.
Mabadiliko ya kitu kuwa katika hali nyingine.
Utetezi wa haki za watu wengine.
Utoaji wa ujumbe unaodaiwa kupatikana katika ndoto.
Kipande kidogo kilichokatwa katika ngozi.
Shughuli za kuuza na kununua bidhaa.
Upatikanaji wa wazo au kitu kisichojulikana hapo awali.
Utaalamu wa upasuaji na tiba ya mifupa.
Ufundi wa kutengeneza vitu kwa metali.
Unyang’anyi wa kutumia nguvu na silaha.
Neema na hali yenye heri.
Kazi ya kutengeneza miundo kama nyumba na barabara.
Hali ya kuota ndoto zinazoleta hofu.
Maarifa yanayowezesha kutenda kazi.
Uchunguzi wa ubora na kasoro.
Ulimaji wa kutayarisha ardhi kwa kupanda.
1. Kuondoa watu katika mateso au unyonge. 2. Kuondolewa katika dhambi kwa imani ya kidini.
1. Uganga unaodai kutoa pepo kichwani. 2. Uganga unaodai kuondoa sihiri mahali.
Uzi mgumu wa kati ya chane za jani la mua.
Kamba ya kudumu iliyofungwa katika makiri ya chombo cha majini.
Ufagiaji unaopeleka taka upande fulani.
Wadhifa na majukumu ya mkurugenzi katika kuongoza taasisi au idara.
Kilio au yowe la sauti kubwa.
1. Kazi ya kupanda mnazi ili kuangua nazi. 2. Tendo au mbinu ya kupanda juu ya mti au kitu kingine.
1. Biashara ya kuficha bidhaa muhimu ili kuzua uhaba na kuziuza baadaye kwa bei ya juu. 2. Uuzaji wa bidhaa muhimu kwa bei kubwa kupita kiasi waka...
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.