Maana 1
Uchafu, vumbi, majani au takataka zinazokusanywa baada ya kufagia mahali.
Mfano wa matumizi: Baada ya kufagia, alikusanya ufagizi na kuutupa nje.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.